Friday, September 21, 2018

SIFA ZA MCHUMBA MBABAISHAJI

(According to Pastor Kazi Group)
1:mpenda ngono,zinaaa,uzinzi
2:binti mpenda zawad, kila wakat anaomba hela,Mara vocha,Mara juice Mara soda,hapo huna mke una kahaba.
2:kila wakat anakwambia matatizo yake na ya kwao,Mara naumwa mgongo,msingizia magonjwaaaa
3:kutumia gharama nying ili akupate,kukuhonga wewe binti, unakuta jamaa ana azima pikipik,gar,suti au simu kubwaa kama ubao,,.
4; Binti kuazima Nguo au vitu vya marafiki zake ,ijapo yeye hana uwezo,lengo kila wakat umwone amependezaa4:kuomba utolewe out/kijana kukuomba akutoe au hapo hakuna kitu,ubabaishaji tu,hakuna out wakat wa uchumba.


 For more updates on Gospel, Sports, Business and other related news updates, Contact Tanzania Gospel Network at: 

Email: mkahaya@gmail.com, 
Phone no: +255717250805 (Call/Sms/WhatsApp) 
Website/Blog: www.tanzaniagospel.blogspot.com www.facebook.com/tanzaniagospel/ www.twitter.com/tanzaniagospel www.instagram.com/tanzaniagospel/

Thursday, September 06, 2018

MSTARI MUHIMU WA KUPITIA WAKATI WA MAOMBI

Ezra:8.21
Ndipo nikaamuru kufunga, hapo penye mto Ahava, ili tupate kujinyenyekeza mbele za Mungu, na kutafuta kwake njia iliyonyoka, kwa ajili yetu sisi wenyewe, na kwa ajili ya watoto wetu, na kwa mali yetu yote.

Thursday, August 23, 2018

CHANGIZO LA KIPINDI CHA MATENGENEZO NA UREJESHO KATIKA MAHUSIANO BY PASTOR SONGWA KAZI

                 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Shalom Shalom mwana Wa Mungu.

🔆Kipekee sana namashukuruu sana Mungu kwa neema na fadhili zake kwangu.

🔆Leo nimefikiwa na habari za FURAHA kutoka kwa mmoja wa wanafamilia kuwa kipo kituo cha REDIO na TV cha SIBUKA kinachorusha mafundisho kwa jamii yetu.

🔆Nikapata fursa ya kuongea na wahusika ili kuona kama Naweza kupata jipindi cha kuendesha MASOMO YA MAHUSIANO katika studio za SIBUKA kwa NEEMA ya Mungu mhusika akasema ina wezekana Kwani hakuna Kipindi kama hicho.

🔆MIMI NIPO TAYARI NA MASOMO YAPO FULL .

🔆GHARAMA KWA KIPINDI CHA NUSU SAA 125,000/-

KWA MWEZI
125,000× 4
=500,000/-

✳OMBI LANGU KWAKO.

🔆 Kama jambo hili litapata kibali kwako, kwa kadri ya kubarikiwa kwako sapoti Kipindi hiki tuwafikie watanzania wengi kwa wakati mmoja walionachangamoto za kimahusiano na ndoa .

🔆Kwa kusapoti kwako ninahakika Mungu hatakuacha katika Yale unayomlilia usiku na mchana.

🔆MUDA WA KUANZA KIPINDI.

✍🏻Muda wowote kuanzia sasa kama tu tutalipa Kiwango hata cha Kipindi kimoja .

✳Na Kipindi hiki kitakuwa kila SIKU ya Jumamosi saa 11 JIONI.

✍🏻JINA LA KIPINDI:

🔥Kipindi cha MATENGENEZO NA UREJESHO KATIKA MAHUSIANO.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Na; PASTOR SONGWA KAZI.
( TAG GGCC FOREST KONGOWE)
0757-567 899
0719-968 160

Saturday, August 18, 2018

NDOTO HATARI AMBAZO UKIOTA UNAPASWA UINGIE MAOMBI YA VITA MAANA ZINAKUWA HATARI KWA MAISHA YAKO


1.ukiota umepoteza fedha,ni isharaya shambulio la uchumi

2.ukiota unashambuliwa na paka niishara ya roho za kichawi

3:ukiota umeumwa na mbwa;niishara roho za uzinzi na uasherati zinakuandama

4:ukiota umevamiwa na kuibiwa; inamaana Adui amepanga kukupa roho za umaskini na ufukala

5:ukiota umepoteza Pete ya ndowa au gauni la harusi; Maana take kunamashambulizi ndowa yako au mausiano yako.

6:ukiota uko uchi ndotoni;niishara ya kuaibishwa na kufedheheshwa

7:ukiota umevaa nguo zimechanika; maana yako roho ya umaskini

8:kuota unanyonyesha mtoto ndoton:ni ishara maadui wananifaika nawewe bila Wewe kujua,pia dalili ya jini mahaba

9:Ukiota unakula vyakula ndotoni:niishara umeunganishwa na mtandao wa kichawi pia unakula magonjwa laana na umasikin

Usipuuze kunawatu mnapitia kwenye mambo magumu lakini chanzo yalianzia kwenye ndoto na shetani hushambulia watu wengi kupitia ndoto Usiku wa Leo kataa ndoto mbaya zote zinazo kuandama kwa jina la Yesu Kristo. Ubarikiwe na BwanaYesu

Tuesday, August 14, 2018

SOMO MUHIMU KWA WACHUMBA: UJARIBIWAPO USITENDE DHAMBI

  Kuna msemo unasema;

✍🏻Mtoa na mpokea rushwa wote wanapaswa kushitakiwa.🙆‍♂🙆‍♂

✍🏻Kujaribiwa siyo dhambi ila kukubali kujaribika ndiyo dhambi.

✍🏻Tazama MATHAYO 4:1-8

Matthew 4:1-8,10-11

[1]Then was Jesus led up of the Spirit into the wilderness to be tempted of the devil.
Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi.

[2]And when he had fasted forty days and forty nights, he was afterward an hungred.
Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa.

[3]And when the tempter came to him, he said, If thou be the Son of God, command that these stones be made bread.
Mjaribu akamjia akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate.

[4]But he answered and said, It is written, Man shall not live by bread alone, but by every word that proceedeth out of the mouth of God.
Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.

[5]Then the devil taketh him up into the holy city, and setteth him on a pinnacle of the temple,
Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mji mtakatifu, akamweka juu ya kinara cha hekalu,

[6]And saith unto him, If thou be the Son of God, cast thyself down: for it is written, He shall give his angels charge concerning thee: and in their hands they shall bear thee up, lest at any time thou dash thy foot against a stone.

akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.

[7]Jesus said unto him, It is written again, Thou shalt not tempt the Lord thy God.
Yesu akamwambia, Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.

[8]Again, the devil taketh him up into an exceeding high mountain, and sheweth him all the kingdoms of the world, and the glory of them;
Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake,

[9]Then saith Jesus unto him, Get thee hence, Satan: for it is written, Thou shalt worship the Lord thy God, and him only shalt thou serve.
Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.

[10]Then the devil leaveth him, and, behold, angels came and ministered unto him.
Kisha Ibilisi akamwacha; na tazama, wakaja malaika wakamtumikia.

✍🏻Kuomba ni kuonjeshwa ni kosa pia na kumwonjesha nalo ni kosa kubwa sana.

🔆wote wawili wana makosa na wanasitahili adhabu Kali sana.

👆👆ni kosa baya sana kufanya ngono kabla ya ndoa. Hii ni laana kabisa mbele za Mungu.

🤔 Nakama IPO humu ndani unaendelea na tabia ya kuonjaonja na kuonjesha  na pengine umajaribu kuacha umeshindwa tuwasiliane haraka tuone unataokaje hapo. Maana hiyo ni dalili mbaya ya Siku za usoni.

✳Nihutimishe kwa kusema , Mungu hadhihakiwi chochote apandacho MTU atavuna siku moja.

✳Wewe ambaye hutaacha tabia hiyo mbaya ya kuonjana ; ukimwi, magonjwa ya zinaa, mimba na kifo hakiko mbali na wewe.

Ila ukitubu kwakumaanisha kuacha NEEMA ya Mungu itakuwa nawe, Amen.

Mbarikiwe sana kwa michango na maoni  yote.

💎BY PASTOR SONGWA KAZI.

Ili kuwa wa kwanza kupata habari njema za Gospel Tafadhali like page zetu za TANZANIA GOSPEL NETWORK Katika mitandao ya kijamii ya FacebookTwitter na Instagram @tanzaniagospel

Hashtag
#tanzaniagospel

Email
mkahaya@gmail.com

Mobile
+255717250805

Saturday, December 30, 2017

UJUMBE WA KUFUNGIA MWAKA WA WAUME KUTOKA TANZANIA GOSPEL NETWORK


🇼 🇦 🇴 🇦 🇯 🇮

💜Mpende mke wako mzuri
Usimkaripie mke wako ukiwa unaongea nae. Inamuumiza sana.
Mithali 15:1

💜Usimuongelee ubaya kwa mtu yeyote. Mke wako atakua kile ambacho unamuita
Mwanzo 2:19

💜Usimpe mwanamke mwingine upendo anaostahili mke wako. Huo ni uasherati.
Matayo 5:28

💜Usimlinganishe mke wako na mwanamke mwingine. Kama huyo mwanamke alikua anakufaa basi Mungu angekupa umuoe
2wakorinto 10:2

💜Uwe mpole, mvumilivu na msikivu. Amevumilia mengi na amejitolea na ameacha vingi ili awe pamoja nawe. Inamuumiza sana unapokua mkali na kumkera
Waefeso 4:2

💜Usimfiche chochote. Mmekua kitu kimoja na hivyo ni msaidizi wako, usiweke siri yoyotr kati yenu
Mwanzo 2:25

💜Usiseme kitu kibaya kuukosoa mwili wake. Amejitolea uzuri wake na mwili wake kukuzalia ww watoto. Ni binadam pia mwenye moyo, sio mwili tu.
Mithali 18:22

💜Usiulinganishe mwili wake na thamani yake. Mthamini hata pale mtakapofikia uzee
Waefeso 5:29

💜Usimkaripie kwenye umati wa watu. Suluhisheni matatizo yenu chumbani mkiwa wenyewe.
Matayo 1:19

💜Mshukuru kwa kuwalea watoto wenu vizuri, nyumba yako pamoja na wewe. Kwani amejitolea kufanya hayo yote.
1wathesalonike 5:18

💜Mapishi ya wanawake hayafanani. Furahia mapishi ya mke wako. Sio rahisi kumpikia mtu milo mitatu kwa siku kwa siku 365 kwa mwaka kwa miaka mingi mlioishi wote
Mithali 31:14

💜Usiwaweke ndugu zako kabla yake. Yeye ni mke wako. Ndiye anaekaa na ww. Lazma umpe kipaombele kabla ya ndugu zako.
Mwanzo 2:24

💜Wekeza katika ukuaji wake kiroho. Mnunulie vitabu, na chochote ambacho kitamsaidia kukua kiroho atembee na Mungu siku zake zote. Hicho ndicho kitu cha pekee unachoweza kumfanyia mke wako.
Waefeso 5:26

💜Tumia mda wako ukiwa nae kujifunza bibilia na kusali
James 5:16

💜Tenga mda wa kukaa nae, kucheza nae na kufurahia uwepo wake. Kumbuka, utakapofariki, yeye ndiye ataaesimama pembeni ya kaburi lako. Huenda marafiki zako wakawa na kazi nyingi na kushindwa kuhudhuria.
Mhubiri 9:9

💜Usitumie pesa zako kumrubuni au kumpelekesha. Pesa zako ni za kwake pia. Mmekua kitu kimoja na ni mrithi wa kila ulicho nacho ulieunganishwa nae na Mungu.
1peter 3:7

💜Usifichue madhaifu yake. Utakua unajifichua na ww. Mlinde.
Ephesians 5:30

💜Waheshimu wazazi wake na kuwa na moyo wa upole kwa ndugu zake.
Wimbo ulio bora 8:2

💜Usiache kumuambia ni jinsi gani unampenda kila siku ya maisha yake. Mwanamke hachoki kusikia hilo.
Ephesians 5:25

💜Kua katika njia ya Mungu, ndicho kitu kitakacho kufanya uwe mume bora na mwenye hofu ya Mungu.
Warumi 8:29.

Mungu awabariki
Tanzania Gospel Blog Team
+255717250805
tanzaniagospel@yahoo.com
www.tanzaniagospel.blogspot.com

Tuesday, December 05, 2017

NEW SONG ALERT FROM KENANIA MWALABU

Kenania x Samukat - Ufalme wako ( Official HD Video) IF YOU LIKE THIS MUSIC VIDEO AND OTHER NEWS ON OUR LEADING BLOG, AND WOULD LIKE US TO SHARE YOUR GOSPEL VIDEOS WITH US OR ANY OTHER GOSPEL, SOCIAL, CULTURAL AND ECONOMIC NEWS, JUST CONTACT US AT OUR BELOW CONTACTS;

KAMA UMEIPENDA VIDEO HII YA MUZIKI NA HABARI NYINGINE KATIKA BLOGU YETU MARIDHAWA INAYOONGOZA, NA UNGEPENDA KUSHIRIKI NASI VIDEO ZAKO ZA INJILI AU HABARI NYINGINE ZA INJILI, KIJAMII, KITAMADUNI NA UCHUMI, UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA MAWASILIANO YETU HAPO CHINI;


Email; tanzaniagospel@yahoo.com
cc to; mkahaya@yahoo.co.uk/mkahaya@gmail.com

Call/whatsapp; +255717250805 


Thursday, November 30, 2017

LISTEN TO WONDERFUL GOSPEL SONG "TUNAWEZA"FROM KENANIA MWALABU, A LEADING PDODUCER AT BEATSHOP
IF YOU LIKE THIS MUSIC VIDEO AND OTHER NEWS ON OUR LEADING BLOG, AND WOULD LIKE US TO SHARE YOUR GOSPEL VIDEOS WITH US OR ANY OTHER GOSPEL, SOCIAL, CULTURAL AND ECONOMIC NEWS, JUST CONTACT US AT :

Email;  tanzaniagospel@yahoo.com
             cc to; mkahaya@yahoo.co.uk/mkahaya@gmail.com
 
Call/whatsapp; +255717250805

Thursday, December 01, 2016

9 things to incorporate into your marketing strategy for your landscaping business.


Daniel Maithya is the CEO for Social Media Global Drive company, Digital Strategist, Marketer and a Consultant. He is also a Social Entrepreneur, digital content creator and a Social Media Executive based in Nairobi County, Kenya.

1. You need a blog where you can share your landscaping ideas and even run a consultation firm online. You can earn some extra cash through monetizing the site. One of the best blogging platform is wordpress.

2. Spend time blogging relevant content that will attract anyone with interest in landscaping. For a start you can be doing 3 blogs per week and ensuring consistency for it’s in through this you build your blog following.

3. Write about things people want to know.
Through this you will be giving valuable information to people searching for it and as the source of that knowledge you are becoming a thought leader!

4. Don’t forget to use the right keywords! You can easily figure out what users actually search for, that relates to your topic. How? Did you ever notice that when you search for something onGoogle, it actually starts to complete your thought by filling in words as you type, almost as though it knows what you are thinking. Well, Google does know what people are thinking because they have billions of pieces of data from actual search queries from real people. So they are suggesting phrases to you that are from that There will be so many suggestions you won’t know where to start. That’s OK, just start and use them to optimize your posts.

5. Be creative! Come up with valuable content marketing strategies now and then. Keep checking the latest trends in content marketing and adjust your strategies for optimal performance.
6. Google likes links. Having links pointing to your website from other sources, it’s like adding fertilizer to your soil in a garden. The more links the better. But these links should be from credible sources.

7. By setting up social media accounts, you have a great opportunity to communicate directly with potential customers and start discussions that lead to potential business relationships. Your blog links from social media shares and comments are critical to your success. So when you blog, share it to your social networks. Post it on Facebook, Twitter, LinkedIn, include a pretty picture and pin it on Pinterest. Once you’ve built up a list of people following you on these social media channels that LOVE what you are saying, they will also, post it, tweet it, share it and pin it!

8. Set up an account with an email marketing service such as mailchimp to reach out to your target audience in the most effective manner. You will need high-quality content for your email marketing campaigns.

9. Carry out a content analysis of your business website. Are all the necessary pages there? Do you think all the information the client needs in order to make a decision in your favor is present on your website? Does it have testimonials and the FAQs section? Does it properly explain what sort of landscaping services you provide and what sort of material you use?

Quote:
“You cannot bore people into buying your product; you can only interest them in buying it.” —David Ogilvy

Friday, October 14, 2016

Prophet Magaya Urges to Fight Back His Rivals

Phophet Walter Magaya, the General Overseer and Founder of Prophetic Healing and Deliverance (PHD) Ministries based in Harare Zimbabwe, promised to attack back those who fight and attack him and his Ministry. He was very dissapointed pointing out some of the attacks he gets including being using the powers of darkness to minister healing and deliverance.
The Prophet with the branch in Dar es salaam, Tanzania, unveiled how he will fight his rivals in the Ministry in the 12th of October 2016 evening service. He said, especially those whom him and his ministry helped them prosper and be successful, when they attack him, he will use the medium of Yadah TV, the TV Channel owned by his ministry, to speak of their betrayal, urging other people to beware of helping such betrayers as the way of getting rid oF the mess.
Moreover, the Prophet, insisted to the congregants to continue supporting the housing project whose idea he received from the Lord. The project has started already but more effort and collaborative work is needed to make it a success. Also, he adviced the Christians to be identified by a single father and not multiple fathers, so that they can grow and cherish spiritually.
He was crystal clear that, the Ministry will not fall and those wishing so, will fall themselves. The Ministry will dwell to fulfill the purpose of God under the sun.

IF YOU ARE PLEASED BY THE CONTENTS WE POST, OR YOU HAVE QUESTION, SUGGESTION, OPINION OR COMPLIMENT, JUST TYPE YOUR COMMENTS ON THE SPACE BELOW (or CLICK below where written "no comments" and the text box will appear). OR YOU MAY ALTERNATIVELY EMAIL US AT mkahaya@gmail.com OR whatsapp/sms +255717250805. MAY GOD BLESS YOU IN ABUNDANCE

Thursday, April 07, 2016

JIHADHARI NA HUYU TAPELI

JIHADHARI NA KIJANA HUYU MWENYE NYWELE ZA KISOMALI NA WASHIRIKA WAKE KWANI WANATUMIA MBINU NYINGI KUTAPELI WATU KWA NJIA YA SIMU. ANAJIUTA MWALIMU JAMES AU NA WAKATI MWINGINE LAZARO N.K. MAENEO ALIYOKUWA HIVI KARIBUNI NI WILAYA YA IKUNGI, SINGIDA NA BAHI MKOANI DODOMA.... NAMBA WANAZITUMIA NI 0712093975 na 0712196636, NA NAMBA ZA MSHIRIKA WAKE MWINGINE NI 0682799080 na 0677911914. KUWA MAKINI SANA UKIPIGIWA NA HIZI NAMBA ILI KUEPUKA KUTAPELIWA

JIHADHARI NA HUYU TAPELI

JIHADHARI NA KIJANA HUYU MWENYE NYWELE ZA KISOMALI NA WASHIRIKA WAKE KWANI WANATUMIA MBINU NYINGI KUTAPELI WATU KWA NJIA YA SIMU. ANAJIUTA MWALIMU JAMES AU NA WAKATI MWINGINE LAZARO N.K. MAENEO ALIYOKUWA HIVI KARIBUNI NI WILAYA YA IKUNGI, SINGIDA NA BAHI MKOANI DODOMA.... NAMBA WANAZITUMIA NI 0712093975 na 0712196636, NA NAMBA ZA MSHIRIKA WAKE MWINGINE NI 0682799080 na 0677911914. KUWA MAKINI SANA UKIPIGIWA NA HIZI NAMBA ILI KUEPUKA KUTAPELIWA